Lengo kuu la mtandao wa kamusi hii ya Kiswahili ni ajili ya
ufafanuzi. Tofauti na kamusi nyingine la kawaida (stem-based), maneno ya Kiswahili yanaweza kuangaliwa kama yanavyosomeka au yanavyoanidikwa. Kwa hiyo hakuna maarifa ya sheria za lugha sanifu yanayosistizwa. Sarah Hillewaert, Pitta Joffe na Gilles-Maurice de Schryver wanatunga kamusi hii sambamba na kupata mlishonyuma kutoka kwa watumiaji (
Simultaneous Feedback). Kwa sasa, ni maneno machache tu yatumikayo mara kwa mara katika milioni 15 katika mtandao wa Kiswahili, yaliyoundwa na Gilles-Maurice de Schryver na David Joffe, yamefanyiwa kazi. Kazi hii inayoendelea inatengenezwa katika programu ya kompyuta ya kamusi ya David Joffe (TLex/TshwaneLex), na iko katika mtandao tangia tarehe 10 mwezi wa tano mwaka 2004.
Copyright (C) TshwaneDJe 2004-2021. Copying Prohibited.